-
1 Timotheo 1:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Amri hii nakukabidhi wewe, mtoto, Timotheo, kwa kupatana na matabiri yaliyoongoza moja kwa moja hadi kwako, ili kwa hayo upate kuendelea kufanya shughuli ya vita bora;
-