-
1 Timotheo 6:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Pigana pigano zuri la imani, ushike imara uzima wa milele ulioitiwa nawe ukatoa tangazo zuri la hadharani mbele ya mashahidi wengi.
-
-
1 Timotheo 6:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Pigana pigano bora la imani, pata mshiko imara juu ya uhai udumuo milele ambao uliitiwa nawe ukatoa tangazo bora la hadharani mbele ya mashahidi wengi.
-