-
2 Timotheo 4:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Kwa maana Demasi ameniachilia mbali kwa sababu aliupenda mfumo wa mambo uliopo, naye ameenda Thesalonike; Kresensi hadi Galatia, Tito hadi Dalmatia.
-