-
Tito 1:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Kwa maana kuna watu wengi wasiotawalika, waongeaji wa yasiyokuwa na faida, na wadanganyi wa akili, hasa watu wale ambao hushikamana sana na tohara.
-