-
Waebrania 3:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 lakini fulizeni kuhimizana kwa bidii mtu na mwenzake kila siku, maadamu yaweza kuitwa “Leo,” kwa kuhofu yeyote kati yenu asije akafanywa kuwa mgumu kwa nguvu ya udanganyifu ya dhambi.
-