-
Waebrania 5:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Kwa maana kila kuhani wa cheo cha juu aliyechukuliwa kutoka miongoni mwa wanadamu huwekwa rasmi kwa niaba ya wanadamu juu ya mambo yanayohusiana na Mungu, ili atoe zawadi na dhabihu kwa ajili ya dhambi.
-