-
Waebrania 6:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Kwa maana udongo hupokea baraka kutoka kwa Mungu unapokunywa mvua inayonyesha juu yake mara kwa mara, na kisha huzaa mimea inayowanufaisha wale wanaoulima.
-
-
Waebrania 6:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Kwa kielelezo, nchi inywayo mvua ambayo huja mara nyingi juu yayo, na ambayo kisha hutokeza mimea ifaayo kwa wale ambao hiyo hulimwa kwa ajili yao pia, hupokea malipo ya baraka kutoka kwa Mungu.
-