-
Waebrania 7:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Katika kuwa asiye na baba, asiye na mama, bila nasaba, akiwa hana mwanzo wa siku wala mwisho wa uhai, bali akiisha kufanywa kama Mwana wa Mungu, yeye adumu kuwa kuhani daima dawamu.
-