-
Waebrania 9:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Basi hiyo ndiyo sababu yeye ni mpatanishi wa agano jipya, ili, kwa sababu kifo kimetukia kwa ajili ya kuachiliwa kwao kwa njia ya fidia kutoka kwenye mikiuko-sheria chini ya agano la kwanza, wale ambao wameitwa wapate kuipokea ahadi ya urithi udumuo milele.
-