-
Waebrania 12:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Ni kwa ajili ya nidhamu nyinyi mnavumilia. Mungu anashughulika nanyi kama na wana. Kwa maana ni mwana gani huyo ambaye baba hamtii nidhamu?
-