-
Waebrania 12:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Lakini ikiwa ninyi nyote hamjashiriki katika kupokea nidhamu hii, kwa kweli ninyi ni watoto haramu, bali si wana.
-
-
Waebrania 12:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Lakini ikiwa nyinyi hamna nidhamu ambayo wote wamekuwa washiriki, nyinyi kwa kweli ni watoto haramu, wala si wana.
-