- 
	                        
            
            Waebrania 13:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
 - 
                            
- 
                                        
11 Kwa maana miili ya wale wanyama ambao damu yao hupelekwa na kuhani wa cheo cha juu ndani ya mahali patakatifu kwa ajili ya dhambi huchomwa kabisa nje ya kambi.
 
 -