-
Waebrania 13:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Sasa ninawahimiza, akina ndugu, msikilize kwa subira neno hili la kutia moyo, kwa maana nimewaandikia barua fupi.
-
-
Waebrania 13:22Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
22 Sasa nawahimiza nyinyi kwa bidii, akina ndugu, mhimili neno hili la kitia-moyo, kwa maana mimi, kwa kweli, nimewatungia barua kwa maneno machache.
-