-
Yakobo 2:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Kwa maana, ikiwa mtu aliyevaa pete za dhahabu kwenye vidole vyake na aliyevaa mavazi ya kifahari anaingia katika mkutano wenu, na mtu maskini aliyevaa mavazi yenye uchafu anaingia pia,
-
-
Yakobo 2:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 Kwa maana, ikiwa mwanamume mwenye pete za dhahabu kwenye vidole vyake na aliyevaa mavazi maridadi aingia ndani ya kusanyiko lenu, lakini mtu maskini aliyevaa mavazi yenye uchafu wa kuchukiza aingia pia,
-