-
Yakobo 2:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 Kwa namna ileile je, Rahabu kahaba hakutangazwa pia kuwa mwadilifu kwazo kazi, akiisha kupokea wale wajumbe kwa ukaribishaji-wageni na kuwatoa nje kwa njia nyingine?
-