-
Yakobo 4:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Vita vyatokana na chanzo gani na mapigano miongoni mwenu yatokana na chanzo gani? Je, si kutoka katika chanzo hiki, yaani, kutokana na tamaa zenu za kufurahisha hisi za mwili ambazo huendeleza pambano katika viungo vyenu?
-