-
Yakobo 4:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Haya, basi, nyinyi msemao: “Leo au kesho hakika sisi tutafunga safari kwenda kwenye jiji hili na hakika tutamaliza mwaka huko, nasi hakika tutajitia katika biashara na kuzipata faida,”
-