-
1 Petro 2:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Kwa kuwa wakati mmoja nyinyi mlikuwa si watu, lakini sasa nyinyi ni watu wa Mungu; mlikuwa wale ambao hawakuwa wameonyeshwa rehema, lakini sasa nyinyi ni wale ambao wameonyeshwa rehema.
-