-
1 Petro 3:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Lakini hata mkiteseka kwa ajili ya uadilifu, nyinyi ni wenye furaha. Hata hivyo, kitu cha hofu yao nyinyi msikihofu, wala msiwe wenye kufadhaika.
-