-
1 Petro 3:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Naam, hata Kristo alikufa mara moja kwa wakati wote kuzihusu dhambi, mtu mwadilifu kwa ajili ya wasio waadilifu, ili apate kuwaongoza nyinyi kwa Mungu, yeye akiuawa katika mwili wenye nyama, lakini akifanywa kuwa hai katika roho.
-