-
1 Petro 4:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Kinyume cha hivyo, endeleeni kushangilia kwa maana nyinyi ni washiriki katika mateso ya Kristo, ili mpate kushangilia na kuwa na shangwe mno pia wakati wa ufunuo wa utukufu wake.
-