-
2 Petro 2:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Wana macho yenye kujaa uzinzi na yasiyoweza kuachana na dhambi, na hutongoza nafsi zisizo imara. Wana moyo uliozoezwa katika kutamani. Wao ni watoto waliolaaniwa.
-