-
2 Petro 3:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Hapana, bali endeleeni kukua katika fadhili zisizostahiliwa na ujuzi kumhusu Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo. Na awe na utukufu sasa na mpaka siku ya umilele. Amina.
-
-
2 Petro 3:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 La, bali endeleeni kukua katika fadhili isiyostahiliwa na ujuzi juu ya Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo. Kwake uwe utukufu sasa na pia hadi siku ya umilele.
-