-
1 Yohana 2:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Na kwa jambo hili tunatambua kwamba tumemjua yeye, yaani, tukiendelea kuzishika amri zake.
-
-
1 Yohana 2:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Na kwa hili tuna ujuzi kwamba tumekuja kumjua yeye, yaani, ikiwa twaendelea kushika amri zake.
-