-
1 Yohana 2:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Lakini yeyote yule ashikaye hasa neno lake, kwa kweli katika mtu huyu kumpenda Mungu kumefanywa kukamilifu. Kwa hili tuna ujuzi kwamba sisi tumo katika muungano na yeye.
-