-
1 Yohana 3:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Kila mtu ambaye amezaliwa kutokana na Mungu haendelezi dhambi, kwa sababu mbegu Yake ya uzazi hukaa katika mtu kama huyo, na hawezi kuzoea dhambi, kwa sababu amezaliwa kutokana na Mungu.
-