-
1 Yohana 3:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Sisi twajua tumepita kuvuka kutoka kifo hadi uhai, kwa sababu twapenda akina ndugu. Yeye ambaye hapendi hukaa katika kifo.
-