-
1 Yohana 4:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Nyinyi mwatokana na Mungu, watoto wadogo, nanyi mmeshinda watu hao, kwa sababu yeye aliye katika muungano nanyi ni mkubwa zaidi kuliko yeye ambaye yumo katika muungano na ulimwengu.
-