-
1 Yohana 5:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Nawaandikia nyinyi mambo haya ili mpate kujua kwamba nyinyi mnao uhai udumuo milele, nyinyi ambao mwaweka imani yenu katika jina la Mwana wa Mungu.
-