-
Yuda 3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Wapendwa, ingawa nilikuwa nikifanya kila jitihada kuwaandikia nyinyi juu ya wokovu ambao sisi twashika kwa shirika, niliona ni lazima niwaandikie ili kuwahimiza kwa bidii mfanye pigano kali kwa ajili ya imani ambayo ilikabidhiwa mara moja kwa wakati wote kwa watakatifu.
-