-
Yuda 13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 mawimbi yasiyotulia ya bahari ambayo yatoa povu la visababishi vyao wenyewe vya aibu; nyota zisizo na kipito kamili cha mwendo uliowekwa, ambazo kwa ajili yazo weusi wa giza wasimama ukiwa umewekwa akiba milele.
-