-
Yuda 25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 kwa Mungu pekee aliye Mwokozi wetu kupitia Yesu Kristo Bwana wetu, kuwe na utukufu, ukuu, nguvu, na mamlaka kwa umilele wote uliopita na sasa na mpaka umilele wote. Amina.
-
-
Yuda 25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 kwa Mungu pekee aliye Mwokozi wetu kupitia Yesu Kristo Bwana wetu, uwe utukufu, ukuu, uweza na mamlaka kwa umilele wote uliopita na sasa na hadi ndani ya umilele wote. Ameni.
-