-
Ufunuo 1:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Mimi Yohana, ndugu yenu na mshiriki pamoja nanyi katika dhiki na ufalme na uvumilivu katika ushirika na Yesu, nilikuja kuwa katika kisiwa kidogo kiitwacho Patmosi kwa ajili ya kusema juu ya Mungu na kutoa ushahidi kuhusu Yesu.
-