-
Ufunuo 1:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 na katikati ya vinara vya taa mtu fulani kama mwana wa binadamu, aliyevishwa vazi lililofika chini kwenye miguu, na aliyefungwa kifuani mshipi wa dhahabu.
-