-
Ufunuo 2:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 “‘Kwa hiyo kumbuka ni kutoka katika nini umeanguka, nawe tubu na kufanya vitendo vya kwanza. Usipofanya hivyo, mimi ninakuja kwako, nami hakika nitaondoa kinara chako cha taa kutoka mahali pacho, isipokuwa utubu.
-