-
Ufunuo 2:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 ‘Najua dhiki na umaskini wako—lakini wewe ni tajiri—na kufuru la wale wasemao wao wenyewe ni Wayahudi, lakini sivyo walivyo bali wao ni sinagogi la Shetani.
-