-
Ufunuo 3:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Kwa hiyo, endelea kuzingatia akilini jinsi umepokea na jinsi ulivyosikia, nawe endelea kukitunza, na utubu. Hakika usipoamka, nitakuja kama mwizi, na hutajua hata kidogo ni saa gani nitakapokuja juu yako.
-