-
Ufunuo 3:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Tazama! Hakika mimi nitawapa wale wa kutoka sinagogi la Shetani wasemao ni Wayahudi, lakini sivyo walivyo bali wanasema uwongo—tazama! hakika mimi nitawafanya waje na kusujudu mbele ya miguu yako na kuwafanya wajue nimekupenda wewe.
-