-
Ufunuo 3:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 nakushauri ununue kutoka kwangu dhahabu iliyosafishwa sana kwa moto ili upate kuwa tajiri, na mavazi meupe ya nje ili upate kuwa umevishwa mavazi na kwamba aibu ya uchi wako isipate kudhihirika, na dawa ya macho ya kusugua katika macho yako ili upate kuona.
-