-
Ufunuo 4:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Na kuzunguka hicho kiti cha ufalme kuna viti vya ufalme ishirini na vinne, na juu ya hivyo viti vya ufalme niliona wameketi wazee ishirini na wanne wakiwa wamevaa mavazi meupe ya nje, na juu ya vichwa vyao mataji ya dhahabu.
-