-
Ufunuo 5:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Lakini hakuna yeyote mbinguni au duniani au chini ya dunia aliyeweza kukifungua kitabu hicho cha kukunjwa au kutazama ndani yake.
-
-
Ufunuo 5:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Lakini wala mbinguni wala juu ya dunia wala chini ya dunia hakukuwako hata mmoja awezaye kufungua hiyo hati-kunjo au kutazama ndani yayo.
-