-
Ufunuo 6:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Nami nikaona Mwana-Kondoo alipofungua mmoja wa mihuri saba, nami nikasikia mmoja kati ya wale viumbe hai wanne akisema kwa sauti kama ya ngurumo: “Njoo!”
-