-
Ufunuo 7:1Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Baada ya hayo nikaona malaika wanne wamesimama juu ya pembe nne za dunia, wakizishika kwa nguvu zile pepo nne za dunia ili upepo wowote usivume juu ya dunia au juu ya bahari au juu ya mti wowote.
-
-
Ufunuo 7:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Baada ya hili nikaona malaika wanne wamesimama juu ya pembe nne za dunia, wakiwa wameshika sana pepo nne za dunia, ili upepo wowote usipate kuvuma juu ya dunia au juu ya bahari au juu ya mti wowote.
-