-
Ufunuo 8:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Na malaika mwingine akawasili na kusimama kwenye madhabahu, akiwa na chombo cha uvumba cha dhahabu; naye akapewa kiasi kikubwa cha uvumba akitoe pamoja na sala za watakatifu wote juu ya madhabahu ya dhahabu ambayo ilikuwa mbele ya kiti cha ufalme.
-