-
Ufunuo 8:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Na malaika wa pili akapuliza tarumbeta yake. Na kitu fulani kama mlima mkubwa unaowaka moto kikavurumishwa ndani ya bahari. Na theluthi moja ya bahari ikawa damu;
-