-
Ufunuo 8:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Na malaika wa tatu akapuliza tarumbeta yake. Na nyota kubwa inayowaka kama taa ikaanguka kutoka mbinguni, nayo ikaanguka juu ya theluthi moja ya mito na juu ya mabubujiko ya maji.
-