Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ufunuo 9:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Na hivi ndivyo nilivyowaona wale farasi katika maono na wale walioketi juu yao: Walikuwa na mabamba ya kifuani ya rangi nyekundu ya moto na ya bluu ya hayasinthi na ya manjano ya kiberiti, na vichwa vya wale farasi vilikuwa kama vichwa vya simba,+ na moto na moshi na kiberiti vilitoka katika vinywa vyao.

  • Ufunuo 9:17
    Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
    • 17 Na hivi ndivyo nilivyoona wale farasi katika ono, na wale waketio juu yao: walikuwa na mabamba ya kifuani mekundu-moto na hayasinthi-bluu na manjano-sulfa; na vichwa vya hao farasi vilikuwa kama vichwa vya simba, na katika vinywa vyao moto na moshi na sulfa vikatoka.

  • Ufunuo
    Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
    • 9:17 re 149-153

  • Ufunuo
    Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019
    • 9:17

      Upeo wa Ufunuo, kur. 149-153

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki