-
Ufunuo 10:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 na mkononi mwake alikuwa na kitabu kidogo cha kukunjwa kilichofunguliwa. Naye akaweka mguu wake wa kuume juu ya bahari, na mguu wa kushoto juu ya dunia,
-
-
Ufunuo 10:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 na mkononi mwake alikuwa na hati-kunjo ndogo ikiwa imefunguliwa. Naye akaweka mguu wake wa kuume juu ya bahari, lakini ule wake wa kushoto juu ya dunia,
-