-
Ufunuo 11:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Yeyote akitaka kuwadhuru, moto hutoka katika vinywa vyao na kuwateketeza adui zao. Hivyo ndivyo anavyopaswa kuuawa mtu yeyote anayetaka kuwadhuru.
-
-
Ufunuo 11:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Na yeyote akitaka kuwadhuru, moto watoka katika vinywa vyao na kumeza maadui wao; na ikitukia yeyote atake kuwadhuru, lazima auawe kwa namna hii.
-