-
Ufunuo 12:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Kwa ajili ya hili teremeni, nyinyi mbingu nanyi mkaao ndani yazo! Ole wa dunia na wa bahari, kwa sababu Ibilisi ameteremka kwenu, akiwa na hasira kubwa, akijua ana kipindi kifupi cha wakati.”
-